KISWAHILI:- Ulijua ya kwamba.....
......katika maisha ya binadamu nywele zinaota 760 cm?
KISWIDI:- Visste du att......
......håret växer 760 cm under ett människoliv?
KISWAHILI:- Ulijua ya kwamba.....
......kuna aina 2200 za mbu Sweden na 30000 ulimwenguni kwote?
KISWIDI:- Visste du att....
....det finns 2200 olika arter mygg i Sverige och över 30000 i hela värden?
.
Mi sikujua.
ReplyDeleteNahisi neno Mygg kwa kiswahili ni Mmbu.............
ReplyDeleteMtani Fadhy sasa unajua !
ReplyDeleteKaka Shabani umepata kabisa