Sunday, August 23, 2009

JUMAPILI NJEMA KWA WOTE

Kupenda kazi hurahisisha kazi

Si kwamba tuishi tu mahali, bali tuishi mahali pazuri. Kwa juhudi zetu tunaweza kupendezesha mahali pa kuishi, miji na vijiji vyetu.

2 comments:

  1. Ni kweli dada Yasinta,usafi ni jambo la muhimu, ni ujumbe mzuri jumapili hii.Nakutakia jumapili njema.

    ReplyDelete
  2. Ahsante Kissima!kama ulivosema usafi ni jambo la muhimu ni kweli kabisa. Nashukuru kwa kunitembelea.

    ReplyDelete