Sunday, August 30, 2009

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE JUMAPILI HII YA MWISHO WA MWEZI HUU WA NANE KWA WIMBO HUU!!



JUMAPILI NJEMA WOOOOOTEEEEE.

4 comments:

  1. Naanza mimi mwenyewe yaani huu wimbi nimeusikiliza sijui mara ngapi yaani nimeupenda sana. Karibu mwezi wa tisa.

    ReplyDelete
  2. Loh wimbo mzuri,umeifanya jumapili hii kuwa special kabisa wkangu.Asante kwa dedication nzuri hivyo

    ReplyDelete
  3. Jumapili njema saana kwako na kwa "mimi" nisomaye hapa. Lol
    Namaanisha wewe unayesoma ambaye hukuandika.
    Blessings

    ReplyDelete