Tuesday, August 11, 2009

NGOJA LEO TUTEMBELEE KU-NYUMBA KU-SONGEA:- HAPA NI SOKO KUU LA SONGEA MJINI


Ungana nami leo hapa Songea!!

7 comments:

  1. Aaaaa soko linaonekana zuri utadhani Shoprite kabisa. Loh Songea mpo juu.

    ReplyDelete
  2. We Nicky acha utani. Ila lazima nikubaliane nawe ya kuwa ni kama shoprite, maana kuna siku nilikuwa maeneo ya kijijini, ila sitasema wapi, nilikuta yale masoko maarufu tuliyokuwa tunayaita soko mjinga ambapo walikuwa wanauza na chai ya strungi (ya rangi au isiyo na maziwa) na likiwa na kibao kilichoandikwa Sheratoni hoteli and supamaket, kwa kiingereza cha mkorogo hivyo hivyo

    ReplyDelete
  3. Mupo juuuu muno!
    Nilifika Songea miaka kadhaa nyuma. Ni pazuri na patulivu sana.

    ReplyDelete
  4. Da Yasinta umenikumbusha leo Songea.Nakumbuka mbele ya hilo soko kuna Bank ya NMB,pia kuna "internet cäfe"


    Pia soko haliko mbali na majimaji hotel..Bado nakumbuka sana ze mfugo nyama maeneo ya Lizaboni..

    Mungu akipenda dec hii nitafika huku mpaka Lukurufusi,bomba mbili nitaenda Mbinga,Tunduru ingawaka kama kutakuwa na mvua tunduru siendi barabara nafikiri itakuwa sio nzuri..

    Nitafika pia wilaya mpya Namtumbo..

    Nimkumbuka sana myakaya...lol..

    siku njema

    ReplyDelete
  5. Da Yasinta umenikumbusha leo Songea.Nakumbuka mbele ya hilo soko kuna Bank ya NMB,pia kuna "internet cäfe"


    Pia soko haliko mbali na majimaji hotel..Bado nakumbuka sana ze mfugo nyama maeneo ya Lizaboni..

    Mungu akipenda dec hii nitafika huku mpaka Lukurufusi,bomba mbili nitaenda Mbinga,Tunduru ingawaka kama kutakuwa na mvua tunduru siendi barabara nafikiri itakuwa sio nzuri..

    Nitafika pia wilaya mpya Namtumbo..

    Nimkumbuka sana myakaya...lol..

    siku njema

    ReplyDelete
  6. Duh!! Ina maana kila mtu kishafika Songea kasoro mimi? Basi nimefika ki-taswira na naamini PAKITUNZWA zaidi, pataendelea kuwa pazuri kama wadau wasemavyo. Tatizo LETU kubwa ni kuwa hatujitahidi kuweka vitu kuwa "kama vilivyokuwa ana vinavyotakiwa viwe"
    Ukichimba saana utakutana na ka-wimbo ketu kapya ka taifa..... UFISADI.
    Asante kwa taswira Dadaaaaaa

    ReplyDelete
  7. Asanteni sana wote kwa kutochoka kunitembelea na kutoa maoni. Karibuni sana Songea - Ruhuwiko.

    ReplyDelete