Wednesday, August 5, 2009

AFRIKA YETU + MUNGU IBARIKI AFRIKA






Mungu ibariki Afrika,
Wabariki Viongozi wake,
Hekima Umoja na Amani,
Hizi ni ngao zetu,
Afrika na Watu wake,
Ibariki Afrika,
Ibariki Afrika
Tubariki Watoto wa Afrika.

8 comments:

  1. Ninapopataka mimi ni hapo tu!
    Ninapopataka mimi ni hapo tu!

    Hata hawa mafisadi tuwaombee wabarikiwe?

    ReplyDelete
  2. Mafisadi walaaniwe na kukiona cha moto Fadhy

    ReplyDelete
  3. Jamani tufanyefanye tubadili wimbo huu. Kwenye baraka za viongozi nadhani panahitaji mabadiliko.
    Ni hayo tu

    ReplyDelete
  4. Nilivyokuwa kama darasa la kwanza tulikuwa kila asubuhi tuimbe wimbo wa taifa. Basi utoto tulikuwa tunaimba "HeSHIma umoja na amani.." na ile part ya "Tanzania" tulikuwa tunasema "JUMLISHA uhuru na umoja" instead of "DUMISHA"...It was funny walimu walivyokuwa wanajitahidi kuturekebisha.

    ReplyDelete
  5. MUNGU MBARIKI DADA YASINTA.........

    ReplyDelete
  6. MUNGU UWABARIKI WATU WOTE KATIKA DUNIA HII NA PIA VITU VYOTE.

    ReplyDelete
  7. Huu wimbo una mambo mengi. mosi wimbo si wetu kwa mapingo. unafanana na wa afrika ya kusini na zimbabwe. pili maneno yalifasiliwa kutoka ya wimbo wa afrika ya kusini yaliyotungwa na mtu mmonua enock sentonga (jaribu kum-google uone). kazi tunayo copy and paste. au angalia

    ReplyDelete
  8. Nimeipenda hiyo ramani ya Bara letu ilivyopambwa. Picha safi sana Yasinta.Hongera.
    Bara letu zuri, nchi yetu nzuri ni Mafisadi tu wanaharibu uzuri wake.

    ReplyDelete