Huyu ni kaka yangu mdogo na wa mwisho katika kaka zangu watano, jina lake Philoteo. Leo ni siku ile ambayo huyu kijana aliyaanza maisha yake. Ni siku aliyozaliwa. Kwa niaba yake napenda kumshukuru Mungu kwa kumlinda mpaka siku hii ya leo na kuongeza miaka zaidi.
Hongera kaka yetu kwa siku ya kuzaliwa,nakutakia kila la heri katika maisha yako!!
ReplyDeleteNakutakia maisha marefu yaliyojaa furaha, amani na mafanikio.
ReplyDeleteHappy birthday kaka.
ReplyDeleteHongera zake, na kila la Kheri Kaka yetu
ReplyDeleteNanukuu, ''Hongera kwa kuzaliwa KAKA, MJOMBA , SHEMEJI.....''.
ReplyDeleteKichwa cha habari kina taarifa nyingi kidogo na mtu usipoangalia utachanganyikiwa!:-)
Hongera kwa kuzaliwa Mhusika!
Tuko Pamoja!
Hongera kaka yetu kwa kutimiza miaka kadhaaa..... uwe na maisha marefu
ReplyDeletePhilo.......upo kaka???? mambo ni vipi mwanakwetu??? Nakupongeza sana.... natuma salamu zangu kwa umpendaye..... aaaah nilisahau hivi umeshafunga naye ndoa au unabeba tu kibingwa kaka? nadhani tuko pamoja ila angalia sana dunia mbovu siku hizi au vipi.
ReplyDeletePAMOJA DAIMA
Nawashukuruni wote kwa kumpongeza kakangu mdogo. Nami nasema tena HONERA SANA.
ReplyDelete