MAISHA NA MAFANIKIO

Wednesday, August 1, 2012

TUNAJENGA TAIFA LA WALEVI?

›
Ni ile JUMATANO YA KIPENGELE CHA MARUDIO YA MATUKIO MBALIMBALI NA LEO NIMETEMBELEA HAPA NA KUKUTANA NA HII HABARI NIMEIPENDA NA NIMEON...
5 comments:
Tuesday, July 31, 2012

MGOMO WA WALIMU NCHINI TANZANIA...BASI NGOJA MIMI NIWE MWALIMU

›
 Mwanafunzi anapoamua kuchukua nafasi ya ualimu. Hakika hapa ndipo inapoonekana walimu ni watu/walezi muhimu sana.... ...Walimu wamego...
6 comments:

HAPA NI KIFUNGUA KINYWA CHA LEO CHAI KWA CHAPATI NI KAZI YA MIKONO YANGU!!!!

›
 Chapati zikiwa tayari kama chakula cha asubuhi ya leo ni kazi ya mikono yangu mwenyewe...mimi Nangonyani. Bahati mbaya sikuweza kujipiga ...
6 comments:
Monday, July 30, 2012

SIO LAZIMA UAMBIWE KWA MDOMO....

›
....hata kwenye kanga ni tosha kabisa...
5 comments:

WANAUME NA KUFUNDISHWA!!!!

›
Mwanamke anaweza kufikiri ataimarisha upendo kwa kumwambia mwanaume, "fedha unazopata, tungetumia sehemu na sehemu tukaweka akiba,, tuk...
2 comments:
Sunday, July 29, 2012

POLE DADA MDOGO EDNA/FAMILIA YA ÖHDMAN KWA MSIBA/WAMEPOTEZA MTOTO WAO ...

›
 Blog ya Maisha na Mafanikio inapenda kuungana na Familia ya Öhman kwa pigo lililowapata mwanzoni wa wiki hii inayoisha leo. Mwanablog mwe...
7 comments:

BLOGG YA MAISHA NA MAFANIKIO IMEONA TUMALIZE JUMAPILI HII NA DR. REMMY ONGALA ..KILIO!!!

›
NAWATAKIENI KILA LA KHERI.....
2 comments:

TUMALIZE JUMAPILI HII YA MWISHO YA MWEZI HUU KWA FURAHA NA AMANI!!

›
TUMAINI huzaa FURAHA. NA FURAHA huzaa AMANI. JUMAPILI NJEMA SANA!!!
Saturday, July 28, 2012

NDIYO NIPO NANYI ...JUMAMOSI NJEMA WANDUGU,,,!!!

›
Likizo hii nimeona niwe hapa hapa si kwenda mbali sana kwa hiyo hizi siku nilizopotea nilikuwa hapa summer house ni mahali pazuri kwa k...
8 comments:
Tuesday, July 24, 2012

KUADIMIKA KWA MUDA!!! LIKIZO....

›
 Mmmmmhh! Ngoja kwanza nikune kichwa naona kama nimeishiwa cha kusema vile..ni hivi ni raha sana kuwa na ndugu marafiki na jamaa...lakin...
14 comments:

BIDHAA ZITOKANAZO NA UBUYU - Mafuta, Sabuni, Vipodozi, na Dawa"

›
Marietha Mkuya Aendesha maisha yake kwa kuuza bidhaa zitokanazo na Ubuyu MAISHA ni kuhangaika bila kukata tamaa, kutumia kila aina ya ...
2 comments:
Monday, July 23, 2012

PICHA YA MWEZI:- KUJIFUNZA MAPISHI (KUJIPIKILISHA)!!

›
Picha hii inanikumbusha mbali sana, jinsi ya kujifunza kupika MAPISHI. Eee bwana weee basi hapo ndiyo hapo hapo pa  kujifunza maisha baba ...
6 comments:

Tuendelee na ile yetu …….HADITHI HADITHI…..HAPA NI HADITHI YA MVUVI NA SAMAKI WA DHAHABU!!!

›
Ilipoishia ”Usiwe na hofu, baba kizee enenda kwa amani sasa.” Baba Kizee alirejea kwa mkewe mzuri. Lo! Akaona nini? Jumba zuri na bar...
2 comments:
Sunday, July 22, 2012

NAPENDA KUWATAKIENI JUMAPILI NJEMA NDUGU ZANGUNI WOTE!!

›
Nachukua nafasi hii na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunilinda, kuniongoza, kunifanya nipate chakula, na kuniepesha na yasiyo mema. Nakutuma...
4 comments:
Saturday, July 21, 2012

KATIKA MAISHA KUPUMZIKA NI MUHIMU/RAHA JIPE MWENYEWE!!!!

›
Unapokuwa na mapumziko ya siku mbili tatu hivi kabla hujapata likizo kamili basi unakimbia na kujificha hapa (SUMMER HOUSE/SOMMARSTUGA...
12 comments:
Friday, July 20, 2012

MSIONE UKIMYA .....NIPO KIAINA!!!

›
Habari za siku mbili/tatu jamani ndugu zanguni. Nimeona nikate ukimya nipo....Kesho nitawasimulia nini kisa cha kuwa kimya...IJUMAA NJEMA!...
6 comments:
Monday, July 16, 2012

HADITHI HADITHI…..HAPA NI HADITHI YA MVUVI NA SAMAKI WA DHAHABU!!!

›
Nieipenda hadithi hii na nimeona nisiwe mchoyo ni hadithi nzuri hata kwa watoto wangu wamekisoma ....nimeisoma kwenye kitabu na mwandishi ...
19 comments:

TUANZE JUMATATU HII NA SALAMU/UJUMBE HUU!!!

›
Kuna vitu viwili mtu anaweza akafanya katika kuutafuta ukweli. Ni:- Kutokuwa mkweli/kusema kitu moja kwa moja na kushindwa kuanza..... JUM...
9 comments:
Sunday, July 15, 2012

JUMAPILI/DOMINIKA NJEMA NA WIMBO HUU WA DADA EMMY KASIGEI ALAKARA!!

›
Katika waimbaji niwapendao dada Emmy yupo kwenye orodha hata kama sielewi anaimba nini lakini ni raha ilioje kumsikiliza. Pia nampenda dada...
9 comments:
Friday, July 13, 2012

TASWIRA YA MJI WA NJOMBE:- HAPA ILIKUWA MWAKA JANA...

›
Picha imepigwa nikiwa nimesimama "mtaa" uitwao KIHESA maana Kihesa ipo juu kidogo na ni karibu na Njombe girls kama sikosei....
8 comments:

HOMA YA NGURUWE YAUA NGURUWE ZAIDI 110 IRINGA, SERIKALI YAPIGA STOP ULAJI KITIMOTO!!!!

›
Mbunge wa jimbo la Kilolo Iringa Prof.Peter Msolla akitazama nyama ya kitimoto iliyokuwa ikiuzwa mnadani eneo la Nyanzwa mapema mwaka j...
3 comments:
Thursday, July 12, 2012

NYUMBA ZA ASILI...NYUMBANI NI NYUMBANI!!!!

›
 KITU GOROFA SIO MPAKA MJINI SASA NI MPAKA VIJIJINI NAWATAKIENI WOTE MEMA...
8 comments:

KIPANYA CHA LEO!!!

›
KILA LA KHERI KWA WOTE!!!
3 comments:
Wednesday, July 11, 2012

KWA VILE NI SIKU YA MARUDIO BASI TUANGALIA NA HAPA...HUYU NI DADA ESTER ULAYA SIJUI HILO NI SHAMBA LAKE TUJE KUCHUMA KISAMVU??!!!

›
Yaani hapa nimetamani hicho kisamvu halafu nimeangalia nimeona pia kama kuna mlenda pori vile. Najigamba sikuchukua mbegu za mihogo. Eti h...
7 comments:

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE JUMATANO NJEMA NA UJUMBE HUU!!!

›
HAYA NDUGU ZANGUNI NI ILE JUMATANO YA KIPENGELE CHA MARUDIO YA MATUKIO MBALIMBALI. KWA HIYO LEO NIMEONA NIWEKE PICHA HII AMBAYO NILISHAWAHI...
12 comments:
‹
›
Home
View web version

Kuhusu mimi

My photo
Yasinta Ngonyani
Sio tofauti na wewe Au?
View my complete profile
Powered by Blogger.