Thursday, July 12, 2012

NYUMBA ZA ASILI...NYUMBANI NI NYUMBANI!!!!

 KITU GOROFA SIO MPAKA MJINI SASA NI MPAKA VIJIJINI
NAWATAKIENI WOTE MEMA...

8 comments:

  1. Mtani Fadhy! Hata mimi tena mno...Karibu sana maana uliadimika kweli:-)

    ReplyDelete
  2. Sina uhakika na uwezo wake wa kuhimili tetemeko la ardhi au tu bonge la mvua la upepo lakini!

    ReplyDelete
  3. Hapo sasa! ila kwa mbali inaonekana iko imara!

    ReplyDelete
  4. kitu cha gorofa, nani alisema gorofa hadi tofali la cement....nimeipenda hii

    ReplyDelete
  5. Huu ni ubunifu mahiri lakini huenda usiwe ni makini.

    ReplyDelete
  6. Hongera sana dada yetu leo nimefurahi sana. nimefurahia hiyo ghorofa ya kijijini umeipata wapi? Ndo leo ninaona safi sana

    ReplyDelete
  7. Du nimeona nahofia uimara

    ReplyDelete