Friday, July 13, 2012

TASWIRA YA MJI WA NJOMBE:- HAPA ILIKUWA MWAKA JANA...

Picha imepigwa nikiwa nimesimama "mtaa" uitwao KIHESA maana Kihesa ipo juu kidogo na ni karibu na Njombe girls kama sikosei....

8 comments:

  1. Ipo powa. Tupo pamoja ndugu wangu!

    ReplyDelete
  2. Ester!tupo pamoja...

    emu3! yaani imetulia pamoja sana.

    ReplyDelete
  3. Asante sana kwa kuendelea kutuhabarisha kupitia picha kutoka Tanzania.

    ReplyDelete
  4. Kihesa ipo jirani na Njombe Boys'Sec.School.
    Mnara unaoonekana ni wa Kanisa Katoliki Jimbo la Njombe

    ReplyDelete
  5. Ray! ahsante na wewe!!

    Usiye na jina ahsante kwa kunisahihisha kumbe ni boys...

    ReplyDelete
  6. Niliwahi kuishi huko. Pengine nitakwenda mwezi wa nane tena...

    ReplyDelete
  7. เล่นหวยออนไลน์ได้ง่ายๆ
    อยู่ที่ไหนก็เล่นได้ไม่มีจำกัด
    https://click1234.com/

    ReplyDelete