Monday, July 23, 2012

PICHA YA MWEZI:- KUJIFUNZA MAPISHI (KUJIPIKILISHA)!!

Picha hii inanikumbusha mbali sana, jinsi ya kujifunza kupika MAPISHI. Eee bwana weee basi hapo ndiyo hapo hapo pa  kujifunza maisha baba na mama...Je wewe msomaji uliwahi kucheza mchezo huu?.

6 comments:

  1. jamani jamani kujipikilisha huku....mabaki ya mapishi home kama nyanya na vitunguu ndo tulikuwa twavitumia, tunasigina matembele kwenye maji ndo yanakuwa mafuta...umenikumbusha kule kule kwenyewe leo hiii ni picha ya mwezi duh

    ReplyDelete
  2. Ester Ahsante ngoja basi iwe kweli picha ya mwezi maana bado siku chache tu mwezi unaisha....picha imenikumbusha jinsi mama alivyokuwa analalamika chumvi inaisha na pia nilikuwa mwizi wa unga...na mabaki ya mchele yaani UTOTO jamani...

    ReplyDelete
  3. Habari yako Yasinta!
    Asabte nimepokea salaam zako za pole kutoka kaka Melkiory MATIYA
    Namshukuru Mungu naendelea vema,soon nitarejea kwenye majuku ya kawaida

    ReplyDelete
  4. Kujipikilisha,sema tena,kujipilikilisha,sema tena,kujipikilisha,sawasawa kabisa;kujipikilisha ni sehemu muhimu sana katika michezo ya mabinti zetu.

    ReplyDelete
  5. SAFI SANA DADA YANGU NAKUKUBALI KWA YOTE

    ReplyDelete