Monday, July 16, 2012

TUANZE JUMATATU HII NA SALAMU/UJUMBE HUU!!!

Kuna vitu viwili mtu anaweza akafanya katika kuutafuta ukweli.
Ni:- Kutokuwa mkweli/kusema kitu moja kwa moja na kushindwa kuanza.....
JUMATATU NJEMA....

9 comments:

  1. Katika maisha tuishio kusema ukweli au msema ukweli ni kazi sana kuwapata kwa asilimia mia.katika mazingira ya kutafuta ukweli maranyingi mtafutaji anakuwa na ajenda yake juu ya ukweli huo autafutao na kama binaadamu kuna kuvutia au kuegemea upande fulani,na mwisho ukwli wako kwa mwingine inakuwa nisumu.kaka s.

    ReplyDelete
  2. Asante kwa Ujumbe da'Kadala,j'3 njema nawe na familia.

    ReplyDelete
  3. Asante Bisikuti yangu kaka Sam mwana wa mbogo!!!

    ReplyDelete
  4. Kaka Sam! Ahsante kwa kupita hapa na ulichosema ni kweli...
    Kachika usengili..namshukuru Mungu J3 imeanza vema na itaishia kwenye kubeba maboxi
    Kachiki kwa bwewe du sikuwezi...LOL

    ReplyDelete
  5. เว็บดูหนัง Late Night (2019) ที่ดีที่สุดในประเทศไทย ดูหนังออนไลน์ต้องที่นี่ที่เดียว
    https://www.doonung1234.com/

    ReplyDelete
  6. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  7. สล็อตออนไลน์ ที่สนุกสุดๆ เครดิตฟรี โบนัส 100 สล็อตออนไลน์ที่สนุก และนำพาเงินมาให้ตลอด ฟรีเครดิต

    ReplyDelete