Saturday, July 28, 2012

NDIYO NIPO NANYI ...JUMAMOSI NJEMA WANDUGU,,,!!!


Likizo hii nimeona niwe hapa hapa si kwenda mbali sana kwa hiyo hizi siku nilizopotea nilikuwa hapa summer house ni mahali pazuri kwa kupumzika na kutafakari...wavuvi hao wanakwenda kutafuta kitoweo baba na kijana wake.....
...ila inakuja wakati lazima kurudi kuvuna mavuno hapa ni mboga za maboga, Bei rahisi fungu moja mia,,,:-)


 Hapa ni ni sehemu ambayo watu wengi wanapenda kwenda na watoto wao au wao tu kufurahi. Ni Skandinavian sehemu kubwa ya "water land" SKARA SOMMAR LAND.
..Bado tulikuwa kule ilikuwa ALHASMIS ..baba na kamanda wake wakiendesha magari kama kucheza----
NAWAKUMBUKENI SANA NA TUPO PAMOJA,,,,KILA LA KHERI!!!!

7 comments:

  1. Hiyo picha ya mwisho kwa kumbu kumbu zangu kama nilishaenda vile ilikuwa mwaka 2010....duh pazuriii
    Aante kwa kuwa nasi siku ya leo na kushare nasi matukio

    ReplyDelete
  2. Picha ya mwisho au ya tatu? ..Ahsante na wewe kuwa nami..

    ReplyDelete
  3. Kamwali mbona ukuninogesa sana pitiku iyo?

    ReplyDelete
  4. yaani ninachokupendea ni jinsi unavyopenda kuishi yale maisha ya kawaida yanayovutia safisana ubarikiwe

    ReplyDelete
  5. nyahbingi worrior! Hilo ulilosema latosha.
    Rehemu Unihekisi kweli eti kamwali! Bwelayi tilyayi pitiku yivili yamahele tu:-)

    batamwa..Ulipotea ndugu yangu karibu tena na Ahsante kwa baraka pia wasifa.

    ReplyDelete
  6. ta bort kortet på mej!?

    ReplyDelete