Giancarlo! muchas gracias.
Kimya kingi kina mshindo au ukimuona kobe kajiinamia anatunga sheria?Je ukiamka asubuhi ukatoka nje na kumuona kobe juu ya mti utapiga kelele au utanyamaza?
SAWA DADA TWASUBIRI KWA HAMU
Ray! mimi ntapiga kelele kwa kweli maana itakuwa mara ya kwanza kumwona kobe juu ya mti.Ester! Nimekuelewa na wala usikonde:-) ipo jikoni
Kupiga kelele ni fujo na siyo suluhisho wala hitimisho la kila changamoto katika mchaato wa maisha na mafanikio@Yasinta!
Giancarlo! muchas gracias.
ReplyDeleteKimya kingi kina mshindo au ukimuona kobe kajiinamia anatunga sheria?Je ukiamka asubuhi ukatoka nje na kumuona kobe juu ya mti utapiga kelele au utanyamaza?
ReplyDeleteSAWA DADA TWASUBIRI KWA HAMU
ReplyDeleteSAWA DADA TWASUBIRI KWA HAMU
ReplyDeleteRay! mimi ntapiga kelele kwa kweli maana itakuwa mara ya kwanza kumwona kobe juu ya mti.
ReplyDeleteEster! Nimekuelewa na wala usikonde:-) ipo jikoni
Kupiga kelele ni fujo na siyo suluhisho wala hitimisho la kila changamoto katika mchaato wa maisha na mafanikio@Yasinta!
ReplyDelete