Huyo mtoto ameonyesha njia. Ana akili kuliko watawala wetu wanaosomesha watoto wao nje wakaharibu nyenzo hii muhimu katika maisha.Ajabu wao walisoma bure na kula bure hadi sasa lakini wanataka kuwauzia wengine elimu mfu waliyoihujumu kwa ujinga na upogo na upofu wao
Mmmmh!:-(
ReplyDeleteHuyo mtoto ameonyesha njia. Ana akili kuliko watawala wetu wanaosomesha watoto wao nje wakaharibu nyenzo hii muhimu katika maisha.Ajabu wao walisoma bure na kula bure hadi sasa lakini wanataka kuwauzia wengine elimu mfu waliyoihujumu kwa ujinga na upogo na upofu wao
ReplyDeleteSijui migomo itaisha lini hapa tanzania jamani?
ReplyDeletemwachen dogo aendelee kuwakumbushia wenzake yaliyopita
hahaha mweh
ReplyDeleteJe tuamini kuwa bila mikikimiki ya migomo hakuna maisha na mafanikio?
ReplyDelete