MAISHA NA MAFANIKIO

Sunday, January 31, 2016

JANA JUMAMOSI YA TAREHE 30 /1/2016 ILIKUWA KUMBUKUMBU YA MT.YASINTA MTAWA...

›
Mt Yasinta Mtawa Leo tunamkumbuka Mt Yasinta mtawa.Alizaliwa Viterbo,Italia mwaka 1585.Alisoma katika shule ya masista hapo Viterbo.Yeye a...
Friday, January 29, 2016

BADO NIPO KIJIJINI KWETU LUNDO NA NDOTO ZANGU ZA VYAKULA....LEO NIMEKUMBUKA MBAAZI...

›
 Usifikiri ni maua yoyote yale ..hapana ni maua ya mti/mmea wa kunde aina ya MBAAZI au wengine husema kunde miti.  Ninazipenda sana.... ...
Thursday, January 28, 2016

AMA KWELI...LEO NIMEYAKUMBUKA SANA HAYA MATUNDA ....

›
Nilipokuwa msichana mdogo wakati tukiishi kijiji cha LUNDO huko nyasa, nyumbani kwetu tulikuwa na miti miwili ya matunda haya. Nasi tuliku...
3 comments:
Wednesday, January 27, 2016

MWANAMAMA MFANYABIASHARA KATIKA SOKO KUU LA SONGEA....

›
Inasemekana kuwa, akina mama wa Tanzania wamechangamka katika ujasiriamali. Katika picha mwanamama huyu akiwa katika soko kuu la mjini S...
2 comments:
Tuesday, January 26, 2016

SIRI 8 ZA KUISHI MAISHA YA MAFANIKIO NA USHINDI

›
ENDELEZA MAMBO CHANYA SIKU ZOTE. Mafanikio ni safari. Tena ni safari ambayo wakati mwingine inahitaji uvumilivu mkubwa wa kutosha ili...
5 comments:
Monday, January 25, 2016

SIKU MPYA NA JUMA MPYA NA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO IMEONA IANZE SIKU NA JUMA HILA NA KATUNI HII.....

›
Nawatakieni wote mwanzo mwema wa juma na kila mlilopanga kufanya lifanikiwe. Tupo pamoja!
2 comments:
Friday, January 22, 2016

MWISHO WA JUMA HILI: BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO IMECHAGUA UJUMBE HUU....!!

›
"Katika maisha, haijalishi wapi unakwenda, ispokuwa na nani yupo nawe huko uendako" NAWATAKIENI MWANZO MWEMA WA MWISHO WA JUMA ...
2 comments:
Thursday, January 21, 2016

SONGEA JUMANNE 19/1/2016 :- MGOMO WA WAFANYABIASHARA SONGEA WADUMU KWA SAA 5

›
Wafanyabiashara wa maduka wa manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wamelazimika kufunga maduka yao kwa zaidi ya masaa matano kwa aji...
3 comments:
Wednesday, January 20, 2016

SIFA KUU AMBAZO WANAUME WENGI WANAZIPENDA KUTOKA KWA MWANAMKE

›
Hizi ni sifa kuu ambazo wanaume wengi wanazipenda kutoka kwa mwanamke:-   1. mwanamke mtii. Kila mwanaume ana vitu vyake ambavyo hupe...
2 comments:
Tuesday, January 19, 2016

"MJADALA ULIOVUNJA REKODI KATIKA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO MWAKA 2015"

›
Ndugu wasomaji wa blog hii ya MAISHA NA MAFANIKIO, katika kupitia mada mbalimbali nilizowahi kuweka humu ili kupata ile ambayo ilivuta hisia...
2 comments:
Monday, January 18, 2016

NI SIKU NA WIKI MPYA NA TUANZE NA MLO HUU...CHAGUO LAKO TU HAPA....

›
 Mahindi ya kupikwa/kuchemshwa na uji au.... .....ya kuchoma. Binafsi hupenfda sana mahindi ya kupika/kuchemshwa hasa yakiwa yamechem...
2 comments:
Sunday, January 17, 2016

NI JUMAPILI YA TATU TANGU MWAKA HUU 2016 UANZE:- NAWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA!!

›
Jumapili iwe njemasana kwa wote kwa ujumbe huu....:- MUNGU UFANYA  NJIA PASIPOKUWA NA NJIA....
Friday, January 15, 2016

NGOJA TUIMALIZE WIKIEND HII NA MZEE MAJOTO NA WIMBO WAKE UITWAO BABA-DADDY

›
NAWATAIENI WOTE MWANZO MWEMA  WA MWISHO WA JUMA. TUPO PAMOJA!!
Wednesday, January 13, 2016

WAZIRI UMMY MWALIMU ATEMBELEA HOSPITALI YA PERAMIHO SONGEA

›
SERIKALI inakusudia kuanza kuzalisha drip za maji za IV (Intravenous Fluids) katika hospitali zake zote kubwa nchini. Kauli hiyo imetole...
Monday, January 11, 2016

KWA VILE TAYARI TUPO MKOANI RUVUMA BASI TUBAKI NA KUANGALIA BAADHI YA PICHA ZA PERAMIHO ILIVYOKUWA HAPO ZAMANI/KALE

›
VIBANDA VYA HOSPITAL YA PERAMIHO MWAKA 1930  HAPA NI KAMA VILE SHULE YA MSINGI SIKU HIZI. iNASEMEKENA WALIKUWA WAKIFUNDISHWA KWA KII...
Saturday, January 9, 2016

UJENZI HAPA MBINGA UNAENDELEA NA SI MUDA MREFU TUTAWEZA KUHAMIA...

›
Ukipita Mbinga basi  huna haja ya kulala hotel KARIBU SANA KWETU maana sisi  ni ndugu  na ndugu husaidiana
2 comments:
Friday, January 8, 2016

IRENTE VIEW POINT LUSHOTO TANGA- NI MOJA YA KIVUTIO AMBACHO WATU WENGI TULIKUWA HATUJALITAMMBUA...KARIBU

›
TANZANIA NI NCHI YENYE VIVUTIO VINGI SANA NA VIZURI KAMA TULIVYOONA ..NAWEZA NIKASEMA NAJIVUNIA NCHI YANGU....
Thursday, January 7, 2016

USEMI WA LEO KUTOKA KWA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO....!

›
Elimu sio maandalizi ya maisha- Isipokuwa ELIMU ndiyo  MAISHA. TUPO PAMOJA!
Tuesday, January 5, 2016

LEO NI TAREHE ALIYOZALIWA KAPULYA .. :-) AMETIMIZA MIAKA KADHAAA

›
Aama kweli miaka inakwenda ...kuna wakati natamani kuwa mdogo tena ....Hapa ni Njombe 2014/15 HAPA NI MSOSI TU...KARIBUNI Leo ni ta...
9 comments:
Sunday, January 3, 2016

NI JUMAPILI YA KWANZA YA MWAKA HUU MPYA WA 2016...TUNAENDELEA KUUSHEHEREKE KWA KUTOSAHAU KULA MBOGA...

›
Hii ni mboga ya kwetu Lundusi /Peramiho.  Karibuni. TUKUMBUKE MBOGA NI MUHIMU KATIKA MIILI YETU...
Saturday, January 2, 2016

MWAKA MPYA!

›
Nimekumbuka leo nilipokuwa  mtoto nilikuwa nikipata taabu sana kuhusu mwaka mpya ufikapo.  Katija akili yangu nilifikiri  MWAKA MPYA  n...
Thursday, December 31, 2015

SALAMU/BARUA KUTOKA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO:- SHUKRANI KWA WOTE!!!

›
Mmmhh! huyu Twiga kanipita urefu nitafika huko kweli...  Habari zenu jamani!! Yamebakia masaa machache tu kuumaliza mwaka huu 2015 na ...
Tuesday, December 29, 2015

KARIBUNI TULE EMBE.....

›
Wandugu mpo  ule msimu wa kula embe sasa umefika. Karibu  tujumuike...duh! Ama kweli  watu tumetoka mbali. ..maisha haya. ...
2 comments:
Monday, December 28, 2015

PALE HALI YA HEWA INAPOBADILIKA...LEO ASUBUHI ILIVYOKUWA/DET SNÖAR!

›
Mila na desturi au nisema ni mazoea ya nchi nyingi za Ughaibuni/ulaya siku ya Krismas kuwa na thaluji yaani kweupe huko nje lakini krisma...
3 comments:
Friday, December 25, 2015

NAWATAKIENI WOTE KRISMASI YENYE UPENDO, AMANI, FURAHA NA BARAKA TELE!!

›
Kamera ya Maisha ya Mafanikio ilikuwa mitaani lao na imepata picha hii ya mtoto Yesu..Hapa Papa Franciskus akimkabidhi mtoto Yesu  ili aen...
‹
›
Home
View web version

Kuhusu mimi

My photo
Yasinta Ngonyani
Sio tofauti na wewe Au?
View my complete profile
Powered by Blogger.