Tuesday, December 29, 2015

KARIBUNI TULE EMBE.....

Wandugu mpo  ule msimu wa kula embe sasa umefika. Karibu  tujumuike...duh! Ama kweli  watu tumetoka mbali. ..maisha haya. ...

2 comments:

  1. Happy New Year kwa wote! By Salumu.

    ReplyDelete
  2. Kaka Salumu! Ahsante sana Nami nakutaia kheri nawe pia. Na Nichukue fursa hii kukushukuru kwa muda wako kila wakati na kusema lile lililo moyoni/mumtima mwako. Pamoja daima...Kapulya

    ReplyDelete