Monday, January 18, 2016

NI SIKU NA WIKI MPYA NA TUANZE NA MLO HUU...CHAGUO LAKO TU HAPA....

 Mahindi ya kupikwa/kuchemshwa na uji au....
.....ya kuchoma. Binafsi hupenfda sana mahindi ya kupika/kuchemshwa hasa yakiwa yamechemshwa na maboga. Haya tufurahie mlo huu pamoja....Kapulya wenu

2 comments:

  1. Ahsante Yasinta sijui nikayatafute wapi leo yaani nmeyatamani sana

    ReplyDelete
  2. Dada P! Mwenyewe hapa najiuma uma tu hata sina jinsi:-(

    ReplyDelete