Kwa hiyo basi nimeichagua mada hii kuwa ndio mada iliyovunja rekodi kwa mwaka 2015.
Natoa shukrani kwa wadau wote mlioshiriki katika kuichangia mada hii.
Naomba muungane nami katika kujikumbusha kile kilichotokea katika mjadala huu.
NAPENDA KUWATAKIENI WOTE MWISHO WA JUMA UWE MWEMA..
Hili ni vazi langu la leo au mwenekano wangu wa leo na napenda kuwatakia wote JUMAMOSI NJEMA AU MWISHO WA JUMA MWEMA. KAPULYA.
- Dada yangu habari za siku nyingi?umependeza sana na vazi lako.Bustani yako inaendeleaje?
- Fantastiki! By Salumu.
- Kaka Mhango....ahsante sana.
Manka ndugu wa mimi ni kweli siku nyingi ni njema....ahsante. Bustani mwaka huu si nzuri sana hali ya hewa inazingua.
Kaka ahsante. - Umependeza sana Dada kama weekend yenyewe ilivyokuwa nzuri
- Thanks , umetokelezea bomba
- Kaka Nicky, Dada P! Ahsanteni sana kwa kutochoka kupita hapa na kuacha yenu ya moyoni.
- Hapa ni kisima kama siyo kufua na maji ya kunywa je?
- Kaka Ray Ahsante!
- dada yangu mwenyewe umenogaaa
- Mama Alvin! Ahsante sana
Ubarikiwe da Yasinta! By Salumu.
ReplyDeleteKaka Salumu kwanza nikushukuru kwa kutochoka kupita hapa Maisha na Mafanikio kila upatapo wasaa na kuacha lako lililo moyoni AHSANTE SANA
ReplyDelete