MAISHA NA MAFANIKIO
Monday, January 11, 2016
KWA VILE TAYARI TUPO MKOANI RUVUMA BASI TUBAKI NA KUANGALIA BAADHI YA PICHA ZA PERAMIHO ILIVYOKUWA HAPO ZAMANI/KALE
VIBANDA VYA HOSPITAL YA PERAMIHO MWAKA 1930
HAPA NI KAMA VILE SHULE YA MSINGI SIKU HIZI. iNASEMEKENA WALIKUWA WAKIFUNDISHWA KWA KIINGEREZA TU....(FORMER MIDDLE SCHOOL)
WANAFUNZI WA WAKATI HUO WALIONEKANA HIVI KATIKA SHULE YA MSINGI HAPA WAPO NA MWALIMU WAO HUYO MWENYE NGUO NYEUPE.
NA HAPA PICHA YA MWISHO NI MASKANI YA NDUNA SONGEA MBANO...
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment