Wednesday, January 27, 2016

MWANAMAMA MFANYABIASHARA KATIKA SOKO KUU LA SONGEA....


Inasemekana kuwa, akina mama wa Tanzania wamechangamka katika ujasiriamali. Katika picha mwanamama huyu akiwa katika soko kuu la mjini Songea akifanya biashara ya mazao mbalimbali.

2 comments:

  1. Raha sana.Kila kitu fresh from Shamba

    ReplyDelete
  2. Kaka Nicky! we acha tu..ila muda si mrefu nitaanza na bustani yangu ..

    ReplyDelete