MAISHA NA MAFANIKIO

Friday, March 31, 2017

KUMBUKUMBU...VYAKULA NIVIPENDAVYO..MWISHO WA JUMA PIA MWEZI UWE MWEMA....

›
 Mboga ya maboga...Karibuni nitaanza bustani yangu hii ni kaka yangu kanitumia ili nitamani zaidi:-) na kweli nimetamani sana na mpaka...
2 comments:
Wednesday, March 29, 2017

NI JUMATANO YA MWISHO NA HILI NI NENO LA LEO JUMATANO HII YA MWISHO WA MWEZI HUU WA TATU...

›
KUKUMBWA NA CHANGAMOTO ZA MAISHA NI LAZIMA , LAKINI KUSHINDWA NI HIARI YA MTU. NAWATAKIENI WOTE MTAKAIPOTA HAPA SIKU NJEMA SANA!...Kapulya.
Tuesday, March 28, 2017

JE? UNGEKUWA WEWE UNGEFANYA NINI?

›
Pale unapotuma pesa nyumbani kwenu  zaidi ya miaka mitano urekebishiwe nyumba yako. Halafu siku ya kurudi unakuta hali kama hii. Je? hapo ...
Monday, March 27, 2017

NILIBAHATIKA KUWA KWENYE KOZI YA :- FUNCA- ADMNITRATORS IN HAMMARÖ MUNICIPALITY

›
Funca-administratörer i Hammarö kommun 22 mars 2017 För att förbättra arbetet inom LSS (lagen om stöd och service) på Hammarö har person...
Friday, March 24, 2017

HAYA MWISHO WA JUMA NDIO UNAKARIBIA SASA...NA HIZI ZIWE PICHA ZA WIKI HII........

›
Huyo dada kafunga mstari makande kwa bia...duh! kaaazi kwelikweli. Haya ndugu zanguni muwe na mwisho mwema wa juma kama  ni kwa mtindo huu...
2 comments:
Thursday, March 23, 2017

MAISHA:- WATOTO WANAPOCHEZA NDIO HUJIFUNZA MAISHA

›
Sisi binadamu hujifunza mambo mengi katika michezo...lakini baadhi ya walezi/wazazi huona watoto wachezapo wanapoteza muda na huwakatisha ...
4 comments:
Tuesday, March 21, 2017

TASWIRA YA WATU NI KAMA MTI WENYE MAJANI,MATAWI NA MIZIZI PIA

›
Nikiangalia mti napata taswira ya watu wanaotuzunguka katika maisha yetu. Kama ujuavyo mti, huwa kuna majani, matawi na mizizi. Vivyo hivy...
1 comment:
Monday, March 20, 2017

JUMATATU YA LEO TUENDELEE NA TAMADUNI ZETU ZA ASILI:- HAPA TUNAONA GHALA ZETU ZA ASILI

›
Hii ni ghala ambalo lilitumika kuhifadhi chakula/nafaka na mpaka leo ghala kama hii bado hutumika katika jamii zetu.
Friday, March 17, 2017

TUDUMISHE UTAMADUNI WETU

›
 NI NGOMA YA ASILI YA KINGONI KWA JINA LA LIZOMBE(KITOTO) NA HII PIA NI NGOMA YA SILI YA KINGONI KWA JINA LA LIGIU
Thursday, March 16, 2017

MAKAMU WA RAIS JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMEWASILI MJINI MBABENE-SWAZILAND

›
KITAMADUNI HASWAAA Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan amewasili mjini Mbabene-Swaziland kuhu...
Wednesday, March 15, 2017

MCHEZO WA BAO ENZI HIZO AMBAO LILITUMIKA NA MACHIFU

›
Hii ni bao ambalo lilitumika na MACHIFU kushindana, kwa mfano wao walikuwa hawapigi kura wakati wanachagua kiongozi wa eneo lao. Ila machi...
Tuesday, March 14, 2017

MAISHA:- BAADA YA KUISHI MIKA 60 SASA WAFUNGA NDOA

›
Mzee wa miaka 98 aoa bibi  wa miaka 88 baada ya kuishi pamoja muda wa miaka 60 huku wakichunguzana. WAZO: NIMEPENDA UAMUZI WAO.
Monday, March 13, 2017

WIKI NYINGINE NA SIKU NYINGINE...KATUNI YA LEO...

›
Nawatakieni wote mwanzo mwema wa juma hili...PAMOJA DAIMA!
Sunday, March 12, 2017

NAPENDA KUWATAKIENI JUMAPILI NJEMA WOTE ...

›
"Msitende neno lolote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake...
Friday, March 10, 2017

PALE WATU WAZIMA WANAPOKUMBUKA NYIMBO ZA UTOTONI ..NIMEPENDA SANA HII

›
Ndugu zanguni wapendwa hizi nyimbo ni hazina yabidi tuzihifadhi na pia tuwafundishe wanetu. Yaani laeo nimekumbuka sana enzi za utoto wangu...
Thursday, March 9, 2017

MNAKUMBUKA HII?

›
Mimi nakumbuka sana.....wazazi wanaondoka kwenda shamba nawe unaachiwa wadogo zako uwatunze na papo hapo labda kuchochea maharege. Nakumbu...
2 comments:
Tuesday, March 7, 2017

LUCIANA DANDA, MJAMZITO ALIYEKUWA AKIPOTEZA DAMU KILA MWEZI

›
Leo kama desturi yangu ilivyo, katika pitapita nikakutana na hii habari ya dada Luciana Danda ...Imenigusa sana na nimeona niiweka hapa kib...
Monday, March 6, 2017

JUMATATU HII YA KWANZA YA MWEZI HUU MACHI/TATU KIVIHI...MAUA...

›
HISTORIA FUPI :- Maua haya jina lake lina fanana na jina langu kidogo...yanaitwa Hyacint... nami naitwa Yasinta. Lakini pia nimewahi kusik...
Friday, March 3, 2017

TUANZA MWISHO WA WIKI HII KWA HIZI KUMBUKUMBU ZETU ZA ASILI AMBAZO KWA SASA ZINAPOTEA...

›
Napatwa na faraja kubwa sana pia furaha nionapo vitu kama hivi ambavyo nimekuwa navyo vya asili. Ambavyo yatupasa kuviendeleza ili kizazi c...
Thursday, March 2, 2017

VAZI LA LEO LA KAPULYA WENU AKA MMILIKI WA MAISHA NA MAFANIKIO...

›
Hili vazi nimelipenda sana nimelinunua leo leo...hapo ni pozi tu  hapo nadhani mtafikiri najaribu kuruka lakini hapana ni kutaka tu kuony...
Tuesday, February 28, 2017

BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO IMECHAGUA HII KUWA PICHA YA MWISHO YA MWEZI HUU WA PILI

›
Nimeona tuumalize mwezi kwa picha hii ya nyumbu. Nawatakieni wote mwisho mwema wa mwizi na pia mwanzo mwema wa mwezi wa tatu/machi. wenu ...
Monday, February 27, 2017

MALEZI:- WAACHE WATOTO WAWE WATOTO

›
Katika jamii yetu wengi wanadharu sana micezo ya watoto. Wanaona ni kupoteza mida tu lakini tukumbuka kwamba michezo yote wafanyayo watoto...
Thursday, February 23, 2017

KUMBUKUMBU:- BLOGG YA MAISHA NA MAFANIKIO LEO YAFIKISHA MIAKA TISA (9) YA KUBLOGG...!!

›
Napenda kuwashukuruni wasomaji wangu wa blogg ya Maisha na Mafaniko kwa kuwa nami bega kwa bega kuendesha libeneka hili. Nina uhakika bila...
9 comments:
Wednesday, February 22, 2017

MAISHA:- KUTOKANA NA TABIA ZAKO UKIWA NA SHIDA UNAWEZA UKAACHWA BILA KUSAIDIWA

›
Katika maisha unaweza kufikwa na MATATIZO na watu wakatamani kukusaidia lakini wakashindwa kutokana na TABIA zako.. UJUMBE:- CHUNGA SANA ...
Tuesday, February 21, 2017

UJUMBE KUTOKA KWANGU KUJA KWENU

›
Kabla hujadhani, jifunze ukweli kwanza.  Kabla hujahukumu , elewa kwanza ni kwanini. Kabla hujamuumiza mtu, hisi kwanza. Na  Kabla ...
5 comments:
‹
›
Home
View web version

Kuhusu mimi

My photo
Yasinta Ngonyani
Sio tofauti na wewe Au?
View my complete profile
Powered by Blogger.