Sisi binadamu hujifunza mambo mengi katika michezo...lakini baadhi ya walezi/wazazi huona watoto wachezapo wanapoteza muda na huwakatisha na kutaka wafanye kazi nyingine... WAZAZI/WALEZI TUWAACHE WATOTO WAWE WATOTO......
Michezo mingine muangalie msiwaharibu vichanga mapema. Laiti mngejua namna watoto wanavyofikiri, msingependa kuwaanzishia mambo ya kikubwa mapema. Ni mawazo yangu tu.
Nimeipenda sana hii. Barikiwa
ReplyDeleteNdugu yangu Chengula...Ahsante sana kwa mchango wako. Nawe barikiwa pia.
ReplyDeleteMichezo mingine muangalie msiwaharibu vichanga mapema. Laiti mngejua namna watoto wanavyofikiri, msingependa kuwaanzishia mambo ya kikubwa mapema. Ni mawazo yangu tu.
ReplyDeleteUpo sahihi kaka Mhango. ..watoto ni wepesi sana kujufunza kitu pia kuiga kwa hiyo umakini ni muhimu
ReplyDelete