kwa mtindo huu na pengine labda....
...kwa mtindo huu .
na labda pia kwa mtindo wa kuwa na familia mkiwa mmetulia nyumbani baada ya kazi ya wiki nzima. Kwa mtindo wa kuwa pamoja na kusimuliana hadithi mbalimbali na vipi wiki kwa ujula imekuwaje? HAYA KAPULYA WENU ANAWATAKIENI MWISHO MWEMA WA WIKI. TUPO PAMOJA DAIMA.
Hiyo gesi na ulevi. Huyu anatafuta kuvimbiwa na kulewa kiasi cha kushindwa kumudu kila kitu. Imagine. Akivimbiwa na kulewa chali huko aendako kutakuwaje? Mambo mengine si ya kujaribu.
ReplyDeleteKaka ww acha tu...maana vikichanganyika humo tumboni ni kasheshe juu ya kasheshe...
ReplyDelete