Mboga ya maboga...Karibuni nitaanza bustani yangu hii ni kaka yangu kanitumia ili nitamani zaidi:-) na kweli nimetamani sana na mpaka nimepitiliza na kutamani .....
...ugali na mlenda pori..duh! nimekumbuka mbali sana.... kila la kheri na mwisho wa juma mwema pia mwishi wa mwezi...
raha
ReplyDeleteMno. ..yaani ni bonge la raha
ReplyDelete