Je wewe huwa unajiuliza maswali hayo?
Kaka Mhango kwanza za masiku?Kusema kweli pale ninapokumbuka huwa najiuliza. Nisapo hivi nina maana ni rahisi sana kusahau haya maswali.
Habari za siku nyingi ni nzuri hasa nikizingatia kuwa huku baridi imepungua si haba. Nimeuliza hayo maswali kichokonozi hasa ikizingatiwa kuwa unapomnyooshea mwenzako kidole kimoja, vine huwa vinakuangalia na isitoshe sisi ni binadamu.
Asante kwa kutukumbusha Kadala wa mimi.
Kaka Mhango.. kwanza hongera kwa kupungua kwa baridi...kumbe muchokozi:-)... nimependa uchokozi wakoKachiki wa mimi..nafurahi kama imekuwa ni kumbukumbu:-)
Je wewe huwa unajiuliza maswali hayo?
ReplyDeleteKaka Mhango kwanza za masiku?
ReplyDeleteKusema kweli pale ninapokumbuka huwa najiuliza. Nisapo hivi nina maana ni rahisi sana kusahau haya maswali.
Habari za siku nyingi ni nzuri hasa nikizingatia kuwa huku baridi imepungua si haba. Nimeuliza hayo maswali kichokonozi hasa ikizingatiwa kuwa unapomnyooshea mwenzako kidole kimoja, vine huwa vinakuangalia na isitoshe sisi ni binadamu.
ReplyDeleteAsante kwa kutukumbusha Kadala wa mimi.
ReplyDeleteKaka Mhango.. kwanza hongera kwa kupungua kwa baridi...kumbe muchokozi:-)... nimependa uchokozi wako
ReplyDeleteKachiki wa mimi..nafurahi kama imekuwa ni kumbukumbu:-)