Hii nadhani wengi wetu tumepitia na bado tunaendelea kutumia hasa uwapo sehemu kama vile mstuni kwa matembezi. Vyombo kama hivi ni muhimu sana kuwa navyo vipo vingi sana SIDO tena ni imara zaidi kuliko plastiki....
Hapa ni ubunifu wa kisasa ambao hata sijawahi kufikiria ...ila najiuliza kama yawezekana kupika mchele hapo au maji ya chai tu?
Au tu upo katika kuchimba labda shimo huku ukichoma taka labda na ghafla njaa inapiga hodi,,, je Ungejaribu?