Kwaya Mt.Maria goreth chuo kikuu cha ushirika wimbo wa Dela dela. Wimbo huu kwa kawaida imeibwa na wangoni na kuchezwa katika ngoma ya lizombe lakini kumbe hata kwa maombi yawezekana nimeFURAHI SANA.
Da Yasinta kama udugu wako ni wa kidini basi niondoe mimi. Nijuavyo, waswahili udugu wao ni wa damu na si Imani. Kumbuka hawa tunaowaita ndugu zetu wa Imani ndiyo hao hao waliotuuza utumwani na kututawala ukiachia mbali kutubagua. Samahani kama nimekuudhi.

ReplyDelete