Friday, November 4, 2016

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE MTAKAOPITA HAPA MWISHO MWEMA WA JUMA HII YA KWANZA YA MWEZI WA KUMI NA MOJA ...

:-) EMBE nimetumiwa hizi na rafiki nia yake kubwa ni kunitamanisha na kweli nimetamani  maana hapa nilipo mate yanachuruzika tu....MWISHO MWEMA WA JUMA!

3 comments:

  1. Da Yasinta, huu sasa uchokozi kama siyo uchokonozi. Ninavyopenda matundi haya, natamani picha igeuke kuwa kweli nifanye kweli. Hata hivyo, nashukuru hata kama kula kwenyewe kwa mimacho.

    ReplyDelete
  2. Mama Mdogo Ester! yaani bongo la utamanisho:-)

    Kaka Mhango, Ndiyo ni uchokozi lakini ni uchokozi wa mumutamanisha...Nimecheka kweli eti natamani picha iguuke iwe kweli... :-) kwa mtindo huo ww tamani na kula tu kwa macho:-(

    ReplyDelete