Kwangu sio vigeni kabisa ndivyo vilivyonipa maarifa yote na pia bado namiliki mpaka hivyi nisemavyo...Nimewahi kusikia minongòno ya kwamba, hasa mwanaume akimiliki vifaa kama hivi siku hizi basi ajua mke atakimbia.....Swali kwani ni vifaa au mume ndiyo tuwapendao au wanatusingizia tu..Wanawake wenzangu mpo nami?...Eti binti/mwanamke akikuta vifaa hivi kwa manaume, penzi linakufa muda huo huo....KWELI?
Duh! unanikumbusha miaka 47
ReplyDeleteDada P, mwaka 47:-) mie mbona ninavitumia mpaka leo...kusema kweli hivi vitu ni muhimu kuwa navyo...
ReplyDeletekwa mama Kachiki mpaka juzi nilipokuwa huko nilivikuata...
ReplyDeleteasante Kadala
Kachikiiii...nimekumisije ujue...nikunong'oneze kitu..kule kwetu kwa baba Kadala hivyo vitu bado tunavyo.
ReplyDelete