Wednesday, November 16, 2016

NIMEPATA ZAWADI YA MAHARAGE MABICHI TOKA MBINGA....

Nimetumiwa maharage mabichi toka Mbinga-:)

4 comments:

  1. Tutumieni japo kidogo. Maana huku hatupati kitu hii;na tukipata inakuwa kama veggies lakini siyo maharagwe ya kumenya na kuchemsha. Nimeona komoni na ulanzi. Usinitumie; maana mpakani watazuia kwa kudhani ni sumu. Si unajua wenzetu wanavyolinda vyao na kuzuia vya wenzao jambo ambalo limetushinda nyumbani.

    ReplyDelete
  2. Kaka Mhango! unajua nini kwa ninavyokua ww nilijua tu utasema nikutumia kidogo...:-) unataka yaliyomenya au unataka kumenya mwenyewe?
    Hutaki ulazi?

    ReplyDelete
  3. Vyote kwangu poa tu. We tuma tu mie kazi kubukanya au vipi?

    ReplyDelete
  4. Sawa kaka usijali...vinafungashwaa...ila itabidi uchapie wali...maana sina unga

    ReplyDelete