MAISHA NA MAFANIKIO

Thursday, April 16, 2020

NIMETUMIWA ZAWADI KUTOKA KWA KAKA YANGU ...KUTOKA MBINGA

›
Yaani mpaka raha .....utakula ulivyopanda... hii ni kazi ya mikono ya kakangu Philo huko Mbinga ni ndizi kama muuonavyo kwenye picha p...
4 comments:
Monday, April 13, 2020

LEO TUTEMBELEE MBAMBA BAY......

›
Hapa ni ukumbi wa starehe hapa Mbamba bay kwetu...karibuni 
Tuesday, April 7, 2020

WIMBO WA WIKI..

›
PAMOJA DAIMA!
Saturday, March 28, 2020

TUMALIZE NA HII WIKI TUKIWA TUKITEMBELEA MAZINGIRA YA MAKAZI YANGU/YETU HAPO BAADAYE

›
HAPA NI BAADHI YA MINAZI  YASEMEKANA NI MINAZI YA KISASA KWA HIYO KARIBUNI TUTAKULA NAZI:-)  HAPA NI NDIZI ...SI MWAJUA TENA BILA ...
Monday, March 16, 2020

TUANZE WIKI HII NA PICHA HII:- IWE PICHA YA WIKI

›
Nimepemda haya mazingira imenikumbusha niliokuwa msichana mdogo kule kwetu KINGOLE/LITUMBANDYÒS  wakati nilipokuwa naenda kisimani kuteka...
Friday, March 6, 2020

PICHA: MDADA YUPO KATIKA POZI LA KUSHUKA NGAZI!

›
Wiki moja iliyopita nilikuwa nimejificha sehemu fulani ili kupumzisha akili na hii ni moja ya picha nilizopiga. Napenda kuwatakieni m...
Wednesday, March 4, 2020

VYAKULA NIPENDAVYO KULA NIWAPO HASA SEHEMU ZA BAHARI YA CHUMVI

›
SAMAKI NA VIAZI VYA KUPONDA KAMBA KWA MKATE CHAKULA CHA KIKUU CHA UISPANIA PAELLA NI WALI WA BINZARI NA KARIBU AINA ZOTE ZA SAMAK...
Friday, February 21, 2020

LEO NIMEONA TUTEMBELEE MBEYA YETU

›
Nimependa hii mandhari ..Hapa ni Mbeya . Basi mimi niwatakieni mwisho mwema wa juma kwa picha hii kwa yeyote atakayepita hapa na pia hata ...
Thursday, February 13, 2020

PICHA;.- HII ITAKUWA NI MPAPAI AU MATTIKITI MAJI?

›
Hii picha na iwe picha ya wiki maana nimeshindwa kabisa kujua kama ni matikiti maji au papai! naomba msaada wenu ndugu zangu
1 comment:
Thursday, January 30, 2020

PICHA ZA SIKU...NAWATAKIENI WOTE MTAKAOPITA HAPA SIKU NJEMA

›
Nawatakieni wote furaha na amani kwa siku ya leo . Tupo pamoja daima Kapyula wenu!
Tuesday, January 28, 2020

NI MANDHARI NILITOKEA KUIPENDA SANA:- NA NDIO MAANA NIMEONA IWE NI PICHA YA WIKI

›
Kama nilivyosema ni mandhari nzuri sana ambayo nimetokea  kuipenda mno. Je? wewe ndugu yangu wasemaje?. Pamoja Daima!
2 comments:
Tuesday, January 21, 2020

HISTORIA:- VITA KATI YA WANGONI NA WAMATENGO.....

›
Kabila la Wamatengo ni Kabila la Asili, halijaundwa kwa kutokana na makabila mengi yaliyochanganyika kama ilivyokuwa kwa kabila la Wangoni...
1 comment:
Sunday, January 19, 2020

KUMBUKUMBU:- JUMAPILI HII YA TATU TANGU MWAKA UANZE NIMETAMANI SANA CHAKULA NINACHOKIPENDA NA KILICHONIKUZA

›
Chakula nikipendacho chaitwa likungu hupatikana hasa kando kando ya ziwa  nimekula sana wakati naishi ziwa nyasa  na hapa ni kumbiku...
Friday, January 10, 2020

HIZI PICHA NIMETUMIWA NA KAKA YANGU AISHIYE ZANZIBAR HAPA NI MAKAZI YAKE MAPYA YAANI MPAKA RAHA

›
Angalia mapapai yalivyojipanga.....   ...na muda si mrefu ndizi zitakuwa tayari kwa kuliwa ...ukiangalia kwa mbali hapo ardhini utaona...
2 comments:
Monday, January 6, 2020

JANA JUMAPILI 5/1 ILIKUWA KUMBUKUMBU YANGU YA KUZALIWA...NAMSHUKURU MUNGU KWA KUNILINDA NA KUUONA MWAKA MWINGINE TENA!

›
 Jana tarehe 5/1/2020 mdada huyu ilikuwa ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwake. Na hapa ni zawadi alizozawadiwa na famili pia marafiki zake....
4 comments:
Friday, December 27, 2019

SALAMU/BARUA KUTOKA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO:- SHUKRANI KWA WOTE!!!

›
Habari zenu jamani!! Zimebakia siku chache tu kuumaliza mwaka huu 2019 na kuingia katika mwaka mpya 2020. Hakika miaka inayoyoma na watu tu...
2 comments:
Friday, December 13, 2019

LEO NIMEKUMBUKA KWETU RUVUMA...SOKO KUU SONGEA HAPO KALE NA SASA

›
Soko kuu Songea sasa
Thursday, November 28, 2019

NENO LA LEO ALHAMISI YA 28/11/2019

›
USIRUHUSU HOFU YA KUSHINDWA IKAWA KUBWA ZAIDI YA SHAUKU YA KUSHINDA Hii nimeipata kwa kaka yangu Shabani Kaluse. Ahsante!
Wednesday, November 27, 2019

UKIFIKA ZANZIBAR PAJE USIKOSE KUFIKA HAPA KWETU UFWUKE.....

›
....Maana kuna pizza  tamu sana  ni kwamba huwezi kupata sehemu nyingine karibu sana sana .... na hapa ni PWEZA ( OCTOPUS)  kwa chips ...
Monday, November 18, 2019

HAPA NI KWETU UFUKWE RESTAURANG IPO ZANZIBAR PAJE USIKOSE KUFIKA....

›
....maana kuna chakula kitamu sana hasa  pizza karibuni sana sana  na kwa sasa ndo msimu mpya unaanza....ukitaka mawasiliana andika hapa u...
Friday, November 15, 2019

KUMBUKUMBU:- HII PICHA INANIKUMBUSHA MAKAZI YAGU YA KWANZA HAPA DUNIANI LUNDO - ZIWA NYASA

›
Soko la ndizi
Wednesday, November 6, 2019

SASA NI MSIMU WA MASUKU....ILA ULAPO KUWA MWANGALIFU USIJE UKALA NA WADUDU

›
Masuku ni matunda pori na kwa sasa ni msimu wake nimeyatamani sana sana....sisi wangoni  twaita mapotopoto.
Monday, October 28, 2019

AINA MBALIMBALI YA VIFAA VINAVYOTENGENEZWA NA UDONGO WA MFINYANZI

›
Soko la vyungu vya asili vinavyotokana na udongo wa mfinyanzi. Si rahisi hasa kwa vijana wetu waliokulia mjini kufahamu umuhimu wa vyun...
Sunday, October 13, 2019

VYAKULA AVIPENDAVYO KAPULYA...SAMAKI NA VYOTE VYA ASILI HASA VYA KUPIKIA KWENYE VYUNGU

›
 Ni aina ya samaki kama hujaonja jaribu Na hapa ni vyakula mbalimbali  vya asili viöivyopikwa kwenye vyungu utamu wake ni ngumu kueleze...
Tuesday, October 1, 2019

LEO NILIKWENDA MSTUNIKUCHUMA UYOGA ...

›
Msimu ni ule majira ya kupukutika kwa majani. Kwa hiyo ni msimu wa uyoga pia kwa hiyo wapenzi wa uyoga tunafurahia sana kwenda mstuni na k...
‹
›
Home
View web version

Kuhusu mimi

My photo
Yasinta Ngonyani
Sio tofauti na wewe Au?
View my complete profile
Powered by Blogger.