Na hapa ni zawadi alizozawadiwa na famili pia marafiki zake. Bila kusahau kikombe cha chai
Kwa vile ni msimu wa baridi nimepata zawadi ya kofia pia...Muda wa chakula ulipofika...kwanza ni LOBSTER ambayo ina viungu vya asili na kitunguu saumu
Na mlo mkuu ulikuwa ni chakula kikuu cha KAPULYA ni SAMAKI ...kwa viazi maalumu.
NAPENDA KUMSHUKURU MWENYEZI MUNGU KWA YOTE .
Heri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Kadala wa mimi
ReplyDeleteMungu aendelee kukubariki wewe na familia yako..
Mingingilove kutoka pandee hii.
HERI YA MWAKA MPYA 2020 NA HERI BINAFSI(BELATEDLY) KWA KUMBUKUMBU YA SIKU YA WEWE KUFIKA DUNIANI BAADA YA KUKAA DUNIA IITWAYO MAMA KWA SEMESTER TATU MAALUMU.
ReplyDeleteMUNGU AKUJAALIE ...UWAONE WANA NA WANA NA WANA WA WANAO!UWAONE WAJUKUU ZA WANAO MWANAKWETU UITWE HERI!
wasalaam
Rafiki tusiyekutana
ELLY DANIEL KOMBE WHATSAPP 0684922 588
Kachiki wa mimi AHSANTE SANA SANA kwa salaam zako yaani kusheherekea siku yangu. Pia Ahsante sana kwa maombi.
ReplyDeleteElly Rafiki yangu tusiyeonana...
Ahsante sana na kheri sana nawe kwa mwaka mpya 2020!
Nakuombea kwa Mungu uzidi kukua kwa kilo na maaifa
ReplyDelete