Thursday, April 16, 2020

NIMETUMIWA ZAWADI KUTOKA KWA KAKA YANGU ...KUTOKA MBINGA

Yaani mpaka raha .....utakula ulivyopanda... hii ni kazi ya mikono ya kakangu Philo huko Mbinga ni ndizi kama muuonavyo kwenye picha
pia kuna matunda ya passion
Karibuni sana kwetu Mbinga chakula kwa kwingi ...au sisi wangoni twasema chakula bwelele...

4 comments:

  1. EEhhh kaka Mhango za masiku?...ni kweli zawadi kabambe mno:-)

    ReplyDelete
  2. Za masiku njema dada. Sie wazima na tunaendelea kujifungia ndani tukifaid japo joto la spring baada ya kubondwa na winter kali.

    ReplyDelete
  3. Nafurahi kusika. hata sisi twajifungia kwa namna fulani...ila ni baridi baddo hapa kwetu nami nataka kuotesa mbogamboga zangu

    ReplyDelete