Monday, February 15, 2010

Da Mija na kaka Chacha O`Wambura a.k.a Ngáwanambiti nimesubiri kushonewa zile nguo nimechoka!!

Kazi ya umodo ya siku moja Habari zenu ingawa mkono umepotea:-)

Naupenda utamaduni wangu (wetu)

soma zaidi hapa Ila bahati mbaya sijapata ile rangi ya bendera yetu nadhani hizi picha au hili vazi Limekaa/zimekaa vizuri:-)

19 comments:

  1. mwe, umependeza sana wewe. Hongera sana!

    ReplyDelete
  2. Mwanamki wa kiafriki anapendezi kuvaa kitengi kuliki nguo ingini yeyoti, Yani umependezi sani.

    ReplyDelete
  3. Yaani! we acha tu! niseme nini tena na wenzangu washasema! Ila mbona wale wadada nawaonaga, siwaoni leo au wao hawapendi vazi hili, wanapenda vipedo? Ahaa! kumbe wengine wako safarini! Kwa ufupi Yasinta umetoka Bomba kinoma! Wakilisha! Wakilisha mama!

    ReplyDelete
  4. Mwee Yasinta umechomoka vibaya!! We acha tu yaani umetoka pina ile mbaya.

    ReplyDelete
  5. mwanamke kitenge bwana,watu weweweeee.Umependeza kiukweli mdada.

    ReplyDelete
  6. Umependeza sana!

    Hivi chupi ya Kiafrika nayo ni ya kitenge?

    ReplyDelete
  7. kweli tuseme nini tumechelewa kusema wacha tuu mara ya pili

    umetoka kweli dadangu

    ReplyDelete
  8. yasinta umependeza mnoooo!!watu weweeeee!!!
    SIMON KITURURU.....e.am.nimesahau nilichotaka kusema kaka.lkn jua tu umevunja mbavu zangu nimezigandisha na banzoka!!!wee kaka yangu ni noma!!!

    ReplyDelete
  9. sidhani kama nafaa kuchangia tena.

    fadhy mtanga na mtakatifu simeone mnenichengua kwa kweli.

    ReplyDelete
  10. Da Yasinta naamini wewe kweli ni mama Afrika.

    ReplyDelete
  11. @Mt. Simon: chupi ya kiafrika ni 'TAMANG'EYO'...lol

    Muulize MLUO yeyote atakwambia

    Haki ya nani Da Yasinta, hakuna aloleta posa?

    ReplyDelete