Thursday, September 13, 2018

FAHARI YA MKULIMA NI KULIMA NA KULA ALICHOVUNA....KAZI YA MIKONO YAMGU...

kula vyakula unavyopanda mwenyewe ni kwamba ule utamu unazidi...nilipanda hili tunda aina ya tikiti maji lakini lenyewe ni la njano ndani  ha picha hapo chini yaonyesha vizuri zaidi. Nilianza kulifuatilia hili tunda  kwa ukuaji wake kama uonavyo ua
Na sasa lishakuwa kubwa yaani ni kama boga ila bado kukomaa ni kwamba ukomaaji wake ni mpaka hili ganda liwe njano njano....
Na leo siku rasmi ya kuvuna na kula. Utakula ulichopanda, hakika najisikia fahari sana ....

2 comments:

  1. Ni kweli linafanana na boga hata rangi ya ndani pia ila linaliwa kama tango ila bila chumvi...Ahsante kwa hongera.

    ReplyDelete