Monday, September 17, 2018

LEO TUTEMBEE KWETU SONGEA MKOANI RUVUMA-KARIBUNI RUVUMA


NAJIVUNIA SANA KUWA MWANARUVUMA.

2 comments:

  1. Haya hongera, nikweli kujivunia kwenu, ndio uasili, ...wengi wakitoka kwao,hawajali tena, na hata kukataa kuwa kwao ni mkoa fulani au ni kabila fulani, huo ni utumwa, au sio....sasa nikuulize utani wa kwenu mkubwa ni upi..kuwa mngoni ukimtuma mzigo ataufikisha, ila ukimtuma nini hakifiki,..hahaha, nakutania tu ndugu yangu.

    ReplyDelete
  2. Ngugu wangu Ahsante! kwa kweli naona fahari sana kuitwa mngoni na pia kujitambulisha kwa watu uasili wangu.
    Hahahaa eti utani wa kwetu....nadhani jibu unalo:-)

    ReplyDelete