UJUMBE WA JUMANNE YA LEO KUTOKA KWANGU KUJA KWENU...
UJUMBE:- Kuna muda inabidi uanguke chini zaidi ya hapo ulipo ili uweze kusimama na kukaa juu zaidi ya hapo ulipo...
Hata siku moja usijaribu kukata TAMAA. Dharau, matusi na kebehi: havimzuii mtu kungára.
PANAPO MAJALIWA TUTAONANA TENA HAPA HAPA...KAPULYA WENU.
Hilo nalo neno...mwenye masikio na asikie
ReplyDeleteNashukuru sana kwa ujumbe wako ndugu wangu, mpendwa, japokuwa tumepoteana , katika kijiji hiki cha blog, lakini hatutaacha kukumbukana, TUPO PAMOJA
ReplyDeleteEeeeh kakangu Frey karibu sana katika hiki kibaraza. Pia ahsante kwa mchango wako
ReplyDeleteNdugu wangu Ahsante kwa kutonitupa hapa kijijini nasisitiza tusiaache kukumbukana. PAMOJA DAIMA!