Friday, January 19, 2018

SALAMU KUTOKA RUHUWIKO/SONGEA NAWATAKIENI MWISHO MWEMA WA JUMA

Ni mwisho wa juma mwingine tena nami napenda kuwatakieni wote  WAKATI MZURI WENYE AMANI, FURAHA NA AMANI VITAWALE MIOYONI MWENU....TUKUTANE TENA WAKATI MWINGINE,,,.....KAPULYA WENU.


2 comments:

  1. Sawa sawa wasalimie wooooooote pia karibu mara

    ReplyDelete
  2. Ndugu yangu Samwel kwanza nikukaribisha hapa kibarazani...Salamu zimefikaaaaa na ahsante kwa ukaribisho wako...

    ReplyDelete