NYASA NI MAARUFU KWA KILIMO CHA MATUNDA
Hapa ni kijiji cha Ndengele katika wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma tulimkuta kijana anauza ndizi mkungu mzima shilingi 2000 tu.
Katika eneo la Liuli tulikuta mananasi matatu yanauzwa shilingi 1000.NB; Albano Midelo
Dah jaman ningekuwa huko hadi furahaaa
ReplyDeleteSamweli ...karibu sana sana!
ReplyDelete