Thursday, October 12, 2017

YA KALE NI DHAHABU...YAANI YA KITAMADUNI HASA

Ebu tuangalie kuanzia mavazi hadi mitindo ya nywele ...nimependa sana hii. Yabidi tuienzi ndugu zanguni...
...hapa pia ule mtindo wa kutwanga watatu watatu nimekumbuka mbali sana ...yaani mpaka raha..

2 comments:

  1. Jaman tumetoka mbalieeeeh

    ReplyDelete
  2. Yaana wewe acha tu haya maisha, na maisha ya zamani yalikuwa ni rahisi sana na ya kijamaa

    ReplyDelete