Mapera yakiwa mtini na hapo unaweza kujua lipi lipo tayari kuliwa.... kuna wengi wanashindwa kula mapera kutokana na kuwa na .....
....mbegumbegu kama uonavyo hapa...basi ni bora kunywa juisi yake ni tamu sana....Nimeyatamani sana mapera leo....Je kuna tunda wewe umelitamani kwa hivi karibuni?
Umenikumbusha shule ya msingi tukiyala sana haya madude utadhani ndege.
ReplyDeleteAma kweli ya kale dhahabu. Hapa Kanada sijawahi kuyaona japo tuna matunda mengi na mboga kama vile nyanya chungu na mlenda aka bamia.
Nimecheka mpaka tumbo laniuma. Eti kama ndege...itabidi nije huko kuzifyata nyanya chubgu ili nikuletee na mapera ila ya kopo:-)
ReplyDeleteMapera ya kopo si mapera. Ninaposema nyanya chungu huku naaminsha orijino siyo kopi kama hayo mapera ya makopo.
ReplyDeleteNilikuelewa kaka lakini kama hakuna orginal basi hata kopi yafaa au wasema vipi? au subiri nitakuchukulia toka Ruhuwiko...
ReplyDeleteInshallah na shukrani sana.
ReplyDeleteNimeyamisi sana sijayatia mdomoni siku nyingi sana
ReplyDeleteNdugu yangu Mtwana fanya kama kaka Mhango karibuni Ruhuwiko mtakula tani yenu au nawe unataka nikuletee...?
ReplyDelete