Kwanza ilikuwa hivi ....
Baadaye dada yangu Mariam akaona kuna vitu vinakosekana kama uonavyo alivyoorodhesha katika picha....
Miaka imepita na jana ndipo nilipotumiwa hii picha kwa mfano huu. Hakika sikuitambua kabisa. Na bado sijitambui maana hiyo si tabia yangu...Je wewe msomaji unauonaje huu mfano wa hii picha ya Kapulya ya mwisho?
NAWATAKIENI JIONI NJEMA KWA WALE WATAKAOPITA HAPA KIBARAZANI....KAPULYA MDADISI WENU
Mionekano yote poa. Nimshindwa kuchagua ni mwonekano upi uipiku ipi. Ninachoona ni kwamba mdada huyu amependeza. Halafu ni kama namfahamu kama sikosei. Sijui kama da Yasinta unamjua huyu mdada hapa.
ReplyDeleteHahaaaa duh! kaaazi kwelikweli...kusema kweli hata mie kama vile namfahamu kama simfananishi na mdada mmoja hivi....sijui kama kuna anayeweza kutusaidia ....kutuambia ni nani huyu.
ReplyDelete