NI WALI NA KUNDE...KWETU UNGONINI TWAITA (NGUNDI MANGI)
Baada ya chakula nilipenda sana haya matunda ...kwa mara nyingine tena kikwetu twaita MADONGA....
Nikikosa hivyo basi nakula uyoga....Je wewe kuna chakula hujala siku nyingi na sasa watamani kukila? Nawatakieni wote jioni njema!!!
Huo uyoga usipime. Natamani ungebanduka nikautafuna.
ReplyDeleteKaka Mhango nipe anwani yako nitakutumia uyoga wala usikonde kabisaaaa...
ReplyDelete