ZILIPENDWA KWELI NI DHAHABU...VAZI LA MAUA-MAUA NA MKANDA JUU....
Nimekumbuka sana zamani...ebu angalia hii picha. Sijui ilikuwa ni mtindo kusimama kwenye miti au maua..? Maana nimejiuliza hata jibu sijapata. Na pia mtindo wa nyweleJe? mnamfahamu huyu mdada? IJUMAA NJEMA KWA ATAKAYEPITA HAPA!
Si vibaya kukumubuka tulikotoka. Kwani tulikotoka kunatusaidia kufikiria tunakokwenda. Isitoshe, historia ni mwalimu mzuri kama itatumika na kueleweka vizuri. Kivazi chako si haba. Kumbe ulianza kuupara zamani.

ReplyDeleteHahahaaa kaka Mhango bwana eti "Kivazi chako si haba. Kumbe ulianza kuupara zamani". nilikuwa najaribu tu kakangu...Ila nikushukuru kwa wasifa:-)
ReplyDelete