SALAMU KUTOKA KWETU RUHUWIKO...KAZI YA MIKONO YANGU...
Nakumbuka siku niliyopanda hili nanasi na mengine nilichekwa sana nikaambiwa nadhani watu wanapanda kama mihogo. Ila sikukata tamaa leo matunda ni haya:-) KAZI YA MIKONO YANGU
Na hapa ni ndizi... kwa hiyo ndugu zanguni karibuni sana Ruhuwiko ...
safi sana!
ReplyDeleteAhsante. ..na karibu sana
ReplyDelete