Monday, December 19, 2016

SEHEMU FULANI TANZANIA NA ZIWE PICHA ZA WIKI HII

 NDIZI,  NDIZI, NDIZI
Nyumba za kitamaduni ...inapendeza kwa kweli. Je unajua hapa ni wapi?

5 comments:

  1. Hapo ni Makumbusho Dar es Salaam. Ila usiombe ukizuka moto nawe unaishi kwenye hiyo zana. Sikutokea kuzishabikia hizi nyumba. Nashukuru Mungukuwa sijawahi kuishi kwenye zana hii asilia. Hata hivyo, acha nikutakia mwaka mpya mwema dada. Mapishi yako sikutaka hata kuyagusia namna yalivyonitamanisha.

    ReplyDelete
  2. Kaka Mhango...kumbe ni makumbusho Dar?:-) Ahsante kwa ufahamisho. Nakuelewa mie ilikuwa siku moja nilinusurika kuteketea na moto.....AHSANTE SANA KWA KUNITAKIA MWAKA MPYA NAMI NACHUKUA FURSA HII NA KUSEMA NAWE NA FAMILIA MUWE NA MWAKA MPYA NA WENYE AMANI.
    MMMhhh kaka hukutaka kuonja mapishi yangu :-( hujanitendea haki

    ReplyDelete
  3. Dada nitaonja yajayo ya mwaka mpya au vipi?
    Zikomo kwa mbiri.

    ReplyDelete