Huo msosi wa kwanza unamfaa Magufuli.Huo wa pili umepatia kwa sababu kuna samaki. Ila huyo uliyomundalia kama hatakufa hatakutembelea tena. Umenikumbusha msemo wa rafiki yangu mmoja asemaye kuwa kwanini kutumia sumu kumuua mtu wakati unaweza kutumia asali?
Mlongo wa neno wangali lihina...ka kweli unikumbwisi mweeh!
Kaka Mhango nilijua tu utasema hayo...lakini aulizaye anataka kujua nakuu "Umenikumbusha msemo wa rafiki yangu mmoja asemaye kuwa kwanini kutumia sumu kumuua mtu wakati unaweza kutumia asali?" mwisho wa nukuu.... maana yake nini?
Maana yake ni kwamba huo msosi unaweza kuua kwa ukubwa wake. Hivyo, kama unaweza kumuua adui kwa ukarimu ni bora kuliko sumu kwani hutafunguliwa mashtaka.
Gwali panani pala, gengi haga hindu kwa waka.
ReplyDeleteHuo msosi wa kwanza unamfaa Magufuli.Huo wa pili umepatia kwa sababu kuna samaki. Ila huyo uliyomundalia kama hatakufa hatakutembelea tena. Umenikumbusha msemo wa rafiki yangu mmoja asemaye kuwa kwanini kutumia sumu kumuua mtu wakati unaweza kutumia asali?
ReplyDeleteMlongo wa neno wangali lihina...ka kweli unikumbwisi mweeh!
ReplyDeleteKaka Mhango nilijua tu utasema hayo...lakini aulizaye anataka kujua nakuu "Umenikumbusha msemo wa rafiki yangu mmoja asemaye kuwa kwanini kutumia sumu kumuua mtu wakati unaweza kutumia asali?" mwisho wa nukuu.... maana yake nini?
Maana yake ni kwamba huo msosi unaweza kuua kwa ukubwa wake. Hivyo, kama unaweza kumuua adui kwa ukarimu ni bora kuliko sumu kwani hutafunguliwa mashtaka.
ReplyDelete