UNAKUMBUKA ULIVYOKUWA UKIZUNGUMZA KATI YAKO NA BABU AU BIBI YAKO? EBU JIKUMBUSHE HAPA MAONGEZI KATI YA BABU NA MJUKUU WAKE.....
MJUKUU; Eti Babu mwisho wa dunia tutalia na kusaga meno ? BABU; Ndio mjukuu wangu. MJUKUU; Sasa mbona wewe huna meno ? BABU; Kuna malaika ameajiriwa na Mungu kutugawia meno siku ya Mwisho
PAMOJA DAIMA!
Hahahahaha! Teteteth umenivunja mbavu dada yetu. Nimemchekaaaaa
ReplyDeleteKucheka nako ni njia mojawapo ya kujiongezea maisha pia afya njema kwa hiyo nafurahi kama nimeweza kukufanya ucheke:-)
ReplyDelete