MSIONE KUSUASUA NIPO.....MNAJUA TENA MSIMU HUU NI LIKIZO KWA HIYO FAMILIA INABANA:-) ILA NIPO
Si mnaona hapa .....msifikiri nimekasirika ni uchovu tu ila muda si mrefu nitakuwa nimeondokana na uchovu. Nawatakieni wote mtakaopita hapa siku njema ....Kapulya wenu.
Wala haujatununia. Kazi ndiyo maisha na isitoshe, umependeza kama kawa.
ReplyDeleteKaka Mhango!nashukuru kwa kuona kuwa sijanuna. Ahsante kwa kuupenda muonekano wangu. ...pamoja daima.
ReplyDelete