Ni vazi langu mpya na nilipendalo hapa bila mkanda
Na hapa nimejaribu kutinga na mkanda kama nipendavyo....sijajua ipi ni safi zaidi :-)....NAWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA NA PIA IWE SIKU NJEMA KWA AKINA MAMA WOTE/MORSDAG NANYI AKINA BABA NA AKINA KAKA MUWE NA SIKU NJEMA PAMOJA NA AKINA MAMA, DADA, SHANGAZI, BIBI...NK. Kapulya wenu.
MORSDAG to you dada Kapulya. By 1saLUMU.
ReplyDeleteNi vazi maridhawa kwa mwanamke anyeheshimika katika jamii yake. Hongera sana kwa uchaguzi mwema wa mavazi.
ReplyDeleteKaka Salumu Ahsante sana MORSDAG ilikuwa bombi sana...
ReplyDeleteKaka Ray! Ahsante kwa kulienda vazi langu...
Vazi limempata mvaaji,hongera sana!
ReplyDeleteNa ungejua nilipendavyo yaani kama vile uliniona ...Ahsante sana
ReplyDelete